Site Loader

Maarifa zaidi kuhusu nyanda za juu

Kijitabu hiki ni matokeo ya jitihada za pamoja za mashirika mawili yenye shauku ya safari na tiba katika nyanda za juu.

Medical Expedition hulenga haya:

  • Kuchunguza sura zote za magonjwa katika nyanda za juu.
  • Kuwaelimisha wakwea-milima na wasafiri wa safari za mbali na madaktari wao kuhusu kiini na uepukaji wa magonjwa nasibishi ya nyanda za juu

Ilianzishwa mwaka 1992, inajivunia heshima ya hadhi ya kimataifa kwa ajili ya tafiti na uelimishaji.

’Medical expeditions’ kwa kawaida hujikita kwenye tafiti za makundi sampuli kubwa na kwa muda mrefu.Mfano hai mmoja ni ule unaojumuisha wanachama 75 wanaojitosa kwenye nyanda za juu kwa wiki sita.

Medex ni klabu inayoziandaa safari zenye malengo maalum na za kiuthubutu kote duniani na katika tiba-thubutu.Huwaunganisha wenye shauku ya safari za kijasiri na tiba za kijasiri.Medex imewahi kuratibu kwa mafanikio makubwa safari za kimalengo kwenye mlima Everest mnamo mwaka 1994, Kangchenjunga mnamo mwaka 1998 na Hongu mwaka 2003.

Kujua zaidi kuhusu tuyafanyayo au kujiunga nasi ebu tembelea tovuti yetu.

Previous         Next