Site Loader

Shukrani

Medex inapenda kuwashukuru wafuatao kwa mchango wa maandishi:

Damien Bailey:

Viungo / Misuli

Denzil Broadhurst:

Tafiti kuhusu nyanda za juu, Maana ya uwanda wa juu, Nyanda za juu zilizopo duniani, Ulaya, Amerika ya kaskazini na kusini, Afrika, Asia, Kuzoea hali ya hewa, Taathira kwenye uwanda wa juu, Magonjwa hatari ya mlimani

Mike Brookes:

Cha kufanya kwenye dharura

Keith Burgess:

Usingizi

Simon Currin:

Dibaji

Gerald Dubowitz:

Moyo / Damu, Usingizi

David Geddes:

Kinywa / Meno

Sandra Green:

Viungo / Misuli

David Hillebrandt:

HAPE, HACE, Tumbo / Matumbo, Figo / Kibofu, Via vya uzazi

Mark Howarth:

Macho, Mazingira Salama

Olly Kemp:

Mapafu

Juliette Levement:

Mapafu, Usingizi

Mandy Jones:

Usingizi

Ian Manovel:

Vidonge / Vijidonge

Alex Martin-Bates:

Hali za awali

Dan Morris:

Macho

Stephan Sanders:

Watoto kwenye Uwanda wa Juu

Eli Silber:

Ubongo

Chris Smith:

Ulaya, HAPE, HACE, Wachukuzi, Mazingira salama

Jill Sutclife:

Mazingira salama

Henriette Van Ruiten:

Peo

Catharine Wilson:

Afrika, Australasia, Antaktika, Ugonjwa wa mlimani, Mapafu

Jeremy Windsor:

Masikio / Pua, Oksijeni

Medex inapenda kuwashukuru wafuatao kwa kuwaridhia kutumia utafi kesi wao:

Jim Duff, Gill Macquarie, Martin Rhodes, Ronnie Robb, Jacky Smith

Medex inapenda kuwashukuru wafuatao kwa picha zao:

Bruce Bricknell:Uk 33

Denzil Broadhurst:Uk 17,23

Simon Currin:Uk iii,9,10,back cover

Diana Depla:Uk 24

Gerald Dubowitz:Uk 12,14,20,26,41

Rachel Hamilton:Uk 6

David Hillebrandt:Uk 25,27

Annabel Nickol:Uk 7

Gill Macquarie:Uk 4,40

Nick Mason:Uk 2

Ronnie Robb:Uk 13

Stephan Sanders:Uk 1,3

Dorje Sherpa:Uk 8

Chris Smith:Jalada la mbele. Ukii,5,11,15,19,21,22,28,30,31,39

Jacky Smith:Uk 29

Catharine Wilson:Uk 42

Jeremy Windsor:Uk 35

Medex inapenda pia kuwashukuru:

Wote waliotoa maoni kwenye rasimu ya kijitabu.

UIAAkwa msaada wa hali na mali

Wahariri:

Ujumla: Denzil Broadhurst, Chris Smith

Utabibu: Simon Currin, David Hillebrandt, Jim Milledge, Paul Richards

 Kwa mtafsiri wa Kiswahili:

Mwalimu Tumaini Samwel Mark na Dr. Jehangir Sheriff

Previous         Next