Site Loader

Hali ya moyo na shinikizo la damu

Kwenye uwanda:

Ukijisikia mgonjwa, usiendelee kupanda, shuka. Mueleze mwenzio uliye naye.

Maandalizi:

Hakikisha unafanyiwa uchunguzi wa moyo na pata ushauri kwenye dharura na dawa kwa ajili ya maumivu yaanzapo.

Uwe na mzunguko mzuri wa damu na shinikizo la damu la viwango stahiki kabla ya kuondoka.

Fanya utafiti kuhusu shida za dawa za shinikizo la damu na mazoezi, nyanda za juu na baridi.

Previous         Next