Site Loader

Mizio / Anafilaksizi

Taathira zikitibiwa huweza kujirudia ndani ya saa 24. Lenga kupata matibabu haraka iwezekanavyo.

Kwenye uwanda:

Ambatana na bangili la tahadhari za tiba au kufu wenye mzio.

Ambatana na Epipen muda wote na uwe tayari kuitumia.

Maandalizi:

Pata adrinolini, antihistamini na steroidi.

Previous         Next